Punguzo la 50% kwa Watu 10 wa Kwanza

Jifunze Ujasirimali

Karibu katika kozi yetu ya Ujasirimali wa Nyumbani! Hii ni fursa yako ya kujifunza jinsi ya kutengeneza pesa kupitia utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani kwa kutumia teknolojia rahisi, ukiwa nyumbani kwako.

Tufatilie Kupitia :

Imeangazwa na Mjasiriamali Plus

Fanya mabadiliko! Pata kozi 15 bora kutoka kwetu zitakazokusaidia kufikia malengo yako ya kifedha!

Kozi za Ujasiriamali

Jifunze mbinu za kutengeneza na kuimarisha biashara yako kupitia moduli zetu mbalimbali

0 +

Wanafunzi Niliowasomesha

0 %

ya wanafunzi wanaridhika

0 +

Wanafunzi waliofanikiwa

Muonekano wa kitabu

Muonekano wa Sura.

Ushuhuda Kuttoka kwa wanafunzi wangu

Usiweke imani kwenye maneno yetu pekee. Sikiliza maneno kutoka kwa wanafunzi wangu.

Assalam aleikum, Asante sana kwa mafunzo yako, yalinifanya niweze kupambana, sina cha kukulipa, nilichotoa ni kidogo ila nilichopokea kwako ni kikubwa, Allah akupe afya njuma uweze kuwasaidia na wengine.

Mwalimu asante sana kwa kutupa ujuzi Mungu akubariki,tukipata faida tutakukumbuka kwa soda😄😄.

Haya jamani na mimi nimeweza sabuni nzurir povu jingi.Asante sana mwalimu wetu mungu akubariki

Jifunze na Ufanikiwe

Chukua Hatua Sasa ili Kuongeza Ujuzi Wako na Kufikia Malengo Yako ya Kitaaluma!

Kuhusu Mwalimu

kinganije juma kinganije

Mimi ni mwalimu wa ujasiriamali na mwandishi wa vitabu vinavyohusiana na ujasiriamali. Nimejikita katika kusaidia watu kujifunza na kukuza ujuzi wao katika biashara, hasa katika maeneo yafuatayo:

  1. Mjasiriamali na Bidhaa za Viwandani: Ninatoa mafunzo juu ya jinsi ya kuanzisha na kuendesha biashara zinazohusiana na viwanda, ikijumuisha mbinu za uuzaji na usimamizi wa bidhaa.
  2. Ubuyu Biashara: Nimeandika vitabu vinavyofundisha mbinu za biashara zinazohusiana na ubuyu, ikiwemo jinsi ya kuanzisha biashara ya ubuyu na kuimarisha faida.
Creativity
0%
Popularity
0%

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Maswali Yaliyoulizwa

Hapana, sio utapeli; watu zaidi ya 300+ wameshajiunga na matokeo yao yanaonekana kwenye ushuhuda.

Biashara hii haihitaji mtaji mkubwa; kuna machimbo pia takuelekeza ambapo utapata malighafi kwa bei rahisi.

Faida utapata kutokana na mbinu na njia utakazojifunza ambazo ni za kipekee.

Utatumwa malighafi hadi ulipo, na kuna namba za simu za wauzaji wa malighafi katika mikoa yote utapewa.

Utafundishwa hatua kwa hatua ili kutengeneza bidhaa zenye ubora kama unavyoona hapo juu.

Biashara hii unaweza kuifanya ukiwa nyumbani kwako pamoja na watoto wako.

  • Anajiunga mtu mwenye elimu yoyote; hata kama hajasoma kabisa anaweza kujifunza.
  • Awe tayari kujifunza.
  • Awe serious na asichukue mambo kwa mzaha.
  • Awe tayari kuwekeza muda na nguvu zake kwa ajili ya kujifunza.
  • Awe tayari kufanyia kazi kile atakachojifunza.

Baada ya kukamilisha malipo, atanitumia SMS kupitia WhatsApp namba 0742 250 034. Baada ya hapo, namuunganisha kwenye kozi.

Bei ya kozi hii ni Tsh 35,000.

Muda wa kozi hii unategemea uelewa wa mtu, lakini usimamizi wake ni ndani ya mwaka mzima kuanzia tarehe aliyojiunga.

Mafunzo ni online kupitia WhatsApp, na mjasiriamali ndiye anachagua bidhaa ya kuanza nayo hadi atakapoelewa.

Ndio, atapata usimamizi kwa kipindi cha mwaka mzima kupitia kundi la WhatsApp ambalo ni la wajasiriamali kama yeye.

  • Ataweza kuokoa pesa kwa sababu tutatoa ofa ya punguzo ya kujiunga na kozi.
  • Tutatoa kitabu cha ujasiriamali bure kama bonus baada ya yeye kujiunga kwenye kozi yangu.

Tutampatia urahisi wa kupata malighafi za kutengenezea bidhaa hizo kwa kumpatia namba za wauzaji kulingana na maeneo aliyopo na pia tutampatia machimbo ya bei rahisi kwa kumpa namba za simu.

Ndio, utaweza kukua kiuchumi na kiufundi kupitia mafunzo na ushauri unaopata baada ya kujiunga.

Faida za Kujiunga na Kozi Yetu

Jifunze, Ufanikiwe, na Uwe na Mabadiliko Chanya Katika Biashara Yako!
  1. Kuokoa Pesa: Ataweza kuokoa pesa kwa sababu tutatoa ofa ya punguzo ya kujiunga na kozi.
  2. Kitabu Bure: Tutatoa kitabu cha ujasiriamali bure kama bonus baada ya yeye kujiunga kwenye kozi yangu.
  3. Usimamizi wa Mwaka Mzima: Atapata usimamizi kwa kipindi cha mwaka mzima kupitia kundi la WhatsApp ambalo ni la wajasiriamali kama yeye. Ikiwa ana swali au anahitaji ushauri, namuelekeza huko.
  4. Urahisi wa Kupata Malighafi: Tutampatia urahisi wa kupata malighafi za kutengenezea bidhaa hizo kwa kumpatia namba za wauzaji kulingana na maeneo aliyopo.
  5. Vifungashio Bora: Tutampatia urahisi wa kupata vifungashio bora kwa kumpatia machimbo ya bei rahisi na namba za simu za wauzaji.
  6. Nembo na Sticker za Bidhaa: Tutampatia urahisi wa kupata nembo ya bidhaa yake na sticker kwa kumuunganisha na wahusika ili kuji-brand.

Bei za Kozi na kitabu

Mpango wa Bei

Mjasiriamali na Bidhaa za Viwandani

TZS Bure. m
  • Sura 14 Bure.
  • Muundo wa Faili ya PDF
  • Muundo wa Ekitabu.
  • Hakuna Ekitabu la Sauti
  • Hakuna Nakala Ngumu

Mjasiriamali Plus

TZS 35,000. m
  • Mafunzo ya Vitendo
  • Usimamizi wa Mwezi Mzima
  • Ofa za Punguzo
  • Mafunzo ya Mtandaoni
  • Badge au Nembo za Ithibati

Mawasiliano

Wasiliana Nami

Njia ya malipo

Airtel money 0693 127 865
Tigo pesa 0711 383 621

Jina kinganije juma kinganije

Muda wa Kozi na Ratiba.

Muda wa kozi hii inategemeana na uelewa wa mtu, lakini usimamizi wake ni ndani ya mwaka mzima kuanzia tarehe aliojiunga.

Ratiba ya mafunzo

Mafunzo ni online kupitia whatsapp.

Tunafurahia kutangaza punguzo maalum la 50% kwa wateja wetu wapya!

Huu ni fursa nzuri ya kupata bidhaa zetu kwa bei nafuu.

Copyright 2024 © Mjasiriamali Plus. All rights reserved. Powered by Oasis Technologies.